JPOINT COMPANY NI NINI?
JPOINT COMPANY Ni kampuni inayo jishughulisha na utengenezaji bidhaa kadha wa kadha kwa kutumia vitu vilivyotumika au mabaki ya bidhaa au vitu vilivyo chakaa 1. JPOINT COMPANY Inajihusisha na utengenezaji wa bidhaa zifatazo MKAA KARATASI BAHASHA VIPEPERUSHI VITAMBULISHO VYA BIASHARA KWA KAMPUNI NA MTU BINAFSI NOTEBOOK 2. JPOINT COMPANY Ina jikita kutoa mafunzo (TRANNING) kuhusu utengenezaji wa bidhaa zifatazo kwa gharama kidogo sana Kutengeza mkaa kwa kutumia karatasi Kutafuta masoko ya bidhaa zako Utengenezaji wa bidhaa kama karatasi Utengenezaji wa daftari Utengenezaji wa vitambulisho Namna ya kujiajiri mwenyewe 3. JPOINT COMPANY Tunatoa ...